Jinsi Idea Ya Bible Challenge ilivyokuja
Je, unajua jinsi gani wazo kubwa la "Bible Challenge" lilizaliwa? 🤔📖
Katika video hii, tunakuelezea hadithi halisi ya asili ya changamoto hii ambayo imewagusa maelfu ya watu. Care Home for Children pamoja na Mkurugenzi wetu, Rosemina Ally, tulipokuwa tunatafuta njia mpya za kuiunganisha jamii yetu na Neno la Mungu.
Ni baada ya kuona jinsi mashindano ya Quaran yalivyovutia na kuleta ari kwa washiriki, ndipo tulipopata msukumo wa kuleta toleo letu la Kikristo – Bible Challenge. Lengo? Kuhamasisha ujifunzaji wa Biblia kwa njia ya burudani, ushindani wenye afya, na mshikamano.